Tuesday, February 4, 2014

NEW AND EASY FIXED DEPOSIT BY TPB

WADU Plus Account
(SAYE –Save As You Earn): Is a Savings Scheme which enables customers (employed or self-employed) to save a fixed amount of money earned monthly; for a specified period to attain future desired goals.
The periods can be 3, 6,9,12 or 24 months after which a customer is allowed to withdraw the whole amount  or part, with an attractive interest added.
Benefits
        It helps to build a saving culture to customers
       Easy to realise his/her dreams eg.house building, home improvements,
            paying for educational needs etc
        Customer obtains competitive Interest Rates
        The Saving can act as a security for loan within TPB under LIEN
            arrangement
        Access to account info (Balance Enquiry,Mini Statement) anytime,
            anywhere
        The account can be connected with Mobile Banking (TPB POPOTE)
Requirements
       Initial Deposit of TZS10,000
       3 recent passport size photos
       Employee’s Identity Card and letter from the Employer or Voter’s Id Card
            and letter from Ward Executive Secretary

Monday, August 19, 2013

Agriculture Loans from equity bank

Commercial Agriculture Loan

This is a medium term loan to medium and large scale farmers to assist in purchase of farm machinery, equipment and any other farming and social-development needs. The loan also takes care of financing expansion.
 
Benefits/Features
Eligibility
Pricing
Minimum loan amount of Tshs. 2, 000,000 and maximum depends on ability to repay
Should be an account holder with Equity Bank for at least 3 months
Interest rates of 18% flat

Flexible security requirements  e.g. chattels, log books, shares or cash cover, debentures, title deeds, residential license, etc
Registered  business
LACE 2%
Maximum repayment period of 36 months
Permanent business locations


Repayments negotiated to match the seasonality of proceeds.
Acceptable securities


Credit Insurance


 Kilimo Kisasa

This is a loan product specially designed to cater for purchase of modern agricultural tools and equipment such as irrigation equipment, green house tunnels, spraying equipment, milking machines, etc.
 
Benefits/Features
Eligibility
Pricing
Minimum loan amount of Tshs. 500,000 and maximum depends on ability to repay
Should be an account holder with Equity Bank for at least 3 months
Interest rates of 18% flat

Flexible security requirements e.g. chattels, log books, shares or cash cover, debentures, title deeds, guarantors, residential license, etc
Registered  business
LACE 2%
Maximum repayment period of 2 years
Permanent business locations


Repayments negotiated to match the seasonality of proceeds
Acceptable securities


Credit Insurance
Reliable cash flows

  Uvuvi Biashara loan

           Uvuvi biashara loans are granted to fish farmers and those in the fishing business to enable them to purchase fishing equipment, boats, cooling equipment, construction of fish ponds, etc.
      
Benefits
Eligibility
Pricing
Minimum loan amount of Tshs. 100,000 and maximum of Tshs. 50,000,000
Should be an account holder with Equity Bank for at least 3 months
Interest rates of 18% flat

Flexible security requirements e.g. chattels, log books, shares, or cash cover, debentures, title deeds, guarantors, etc
Registered  business
LACE 2%
Maximum repayment period of 3 years
Permanent business locations


Repayments negotiated to match the seasonality of proceeds.
Acceptable securities


Credit Insurance
Reliable cash flows


Mifugo Biashara Loan

Mifugo Biashara Loan caters to the pastoralist community and provides loans for traders who purchase livestock from the pastoralists' production groups.
 
Benefits/Features
Eligibility
Pricing
Minimum loan amount of Tshs. 100,000 and maximum of Tshs. 10,000,000
Should be an account holder with Equity Bank for at least 3months
Interest rates of 18% flat

Flexible security requirements e.g. chattels, log books, shares or cash cover, debentures, title deeds, guarantors, residential license , etc
Registered  business
LACE 2%
Maximum repayment period of 1 year
Permanent business locations


Repayments negotiated to match the seasonality of proceeds
Acceptable securities


Credit Insurance
Reliable cash flows
 

Monday, August 12, 2013

Nelson Mandela health: 'slow but steady improvement'

in a statement from Mr Zuma's office, the president said Mr Mandela, affectionately known in the country as "Madiba", was making a "slow but steady improvement." The 95-year-old anti-apartheid leader, who recently spent his birthday in the Pretoria hospital, is still in a critical condition, President Zuma added. He also thanked South Africans for praying for the former president.

'More alert'

On Friday, Mandela's youngest daughter told state broadcaster SABC that her father's health was improving daily, and that he was able to sit up for minutes at a time.
"Tata now manages to sit up, like now he is able to sit up in a chair for a few minutes in a day. Every day you know, he is becoming more alert, more responsive and so on," she said.

Return home?

So far, the South African government has released few details on Mandela's illness, citing privacy issues. Legal documents filed by the family of the anti-apartheid leader have said he was on life support.
Mixed messages have emerged from his family, with some suggesting that the leader could return to his home in Johannesburg soon.
Mr Mandela is spending his 65th day in hospital after being admitted in June for the recurrence of a lung infection.

Tuesday, June 11, 2013

HII NI BAADA YA MATOKEO MABOVU YA SHULE YA SECONDARY TWEYAMBE

Wadau wametoa kauli mbali mbali baada ya shule kufanya vibaya, maoni ni kama ifuatavyo.

Nasikitika kwamba kwa mujibu wa matokeo ya kidato cha nne yaliyotangazwa jana, Tweyambe sekondari ni moja kati ya shule 10 zilizofanya vibaya sana. Kuna haja ya Tweyambe kuangalia zaidi ubora wa elimu kuliko kuweka nguvu nyingi sana kwenye mali na biashara! Tuwe na mjadala wa pamoja kuhusu hatma ya hali ya ubora wa elimu Tweyambe!
Like · · Unfollow Post · May 31 at 6:47pm near Oslo, Norway

  • Kamala James Lutatinisibwa tatizo la shule nyingi za binafsi, ni malipo madogo ya mishahara kwa wataalamu wa elimu jambolinalosababisha walimu wenye sifa na waliobobea kukimbia shule hizo. ni lazima mishahara ya walimu wenye sifa za kufaulisha kupewa mishahara ya kutosha na maingira mazuri ya kazi ili wasifikirie kuhama na wapewe motisha wa hali ya juu

    shule nyingi haziwekezi kabisa kwenye walimu zinawaona kama watu wa kuondoka leo na kesho akaokotwa mwingine kuziba pengo!
  • Bernard Matungwa Tatizo kubwa la Tweyambe naweza kusema halifanani sana na lile la shule nyingi za binafsi. Nadhani shule za binafsi ndo malipo ya walimu kidogo ni mazuri ukilinganisha na zile sa umma. Kimsingi Tweyambe ina tatizo moja kubwa na ni tatizo lililoanza miaka ya 2003 na kuendelea. Kuajiri kwa misingi ya kujuana. Mpaka leo sijawahi kujua kama Tamimu kweli anastahili kuwa mkuu wa shule. Lakini pia ajira nyingi hasa zinazogusa taaluma zimekuwa zikiangalia connection ya wahusika na Tweyambe au watu walio karibu na Tweyambe. Hili ni tatizo kubwa sana kwa mustakabali wa Taaluma ya Tweyambe. Pili tatizo la Tweyambe kwa miaka mingi limejikita katika jitihada za shirika kuangalia zaidi ujenzi bila kuzingatia ubora wa elimu. Inavoonekana leo, kuwa na majengo ya kila aina ndo kinachothaminiwa sana Tweyambe leo na siyo shule tena. Kuna tatizo mahala na lazima reform za hali ya juu zifanyike kurudisha misingi ya ubora ambao wengi tulikuwa tunakimbilia. Leo Tweyambe inazidiwa na Bwabuki! Ni aibu kwa shule yetu. Tulifikirie sana hili na tuwe na mjadala wa pamoja katka kuendeleza elimu katika shule yetu
  • Fortrich Richard ben emu rudia tena 10 bora imo au 10 za mwisho.?
  • Gration Katto Ndg.Benard umeanza vizuri hoja yako lakin baadae ukaweka siasa na fikra butu, Mhe. Tamimu alijitahidi saaana kuongoza shule ya Tweyambe, na Mungu amlinde kwa juhudi zake. Pia watu muwe na busara katika kundika ujumbe kwenye public maana sidhani kama umetembelea ile shule miaka mitano iliyopita ukachunguza utendaji wa kazi kwa walimu na wafanyakazi kwa ujumla, Nadhan ujumbe wako haukubaliki kwa watu kama mimi ambaye naweza kuelezea in short maendeleo na mapungufu ya Twymbe sec. Mhe. Tamimu take easy kwa yeyote anayelenga kukuchafua sifa zako. ,''Human being by nature we are political animal''' and unpredictable.
  • Bernard Matungwa Gration Katto you should stick on the point. Nasikitika umedandia hoja bila kusoma na ukaelewa mantiki. Sikusema Tamimu hana uwezo, bali nilichokisema sina uhakika na uwezo wake. Lilikuwa jukumu lako sasa wewe unayejua uwezo na kazi nzuri aliyofanya kunieleza bila jazba. Hapa hakuna siasa na wala hakuna mahusiano kabisa na siasa. Mimi nimesoma Tweyambe wakati ikongozwa na Nathanael Isaya. Sikutaka kutaja jina lake lakini imebidi nitaje. Tunapoiongelea Tweyambe hatuangalii miaka 5 iliyopita. Tuiangalie Tweyambe kwa miaka 20 iliyopita ndo tunaweza kwa na analysis nzuri. Mara baada ya kuondoka kwa Issaya kwenye nafasi ya ukuu wa shule ndo mambo yalipoanza kuharibika. Wapo waliosoma enzi ya Issaya wanaweza kuwa mashahidi kwenye hili na naamini hata Tamimu mwenyewe anaweza kukiri hili. Unaweza kuwa na walimu wanaojituma lakini uwezo wao ukawa mdogo. Inawezekana pia tukawa tunahoji uwezo wa Tamimu lakini kumbe tatizo si lake bali liko kwenye Bodi masikini. Inawezekana Tamimu akawa kiongozi mzuri lakini bado akawa na vikwazo. Ni jukumu sasa la Tamimu ili kulinda hadhi yake kuhama au kuachia ngazi ili asiendelee kuchafua jina lake na profession yake kama mwalimu mwenye uwezo. Sina tatizo kabisa na hili ila basi alinde hadhi yake. Pengine hilo linaweza kuwa fundisho kwa bodi. However, umakini unaoutaka ni upi? Hiyo ndo maana ya demokrasia kaka. Na wala usifungwe kusema unachokihisi. Kwa misingi hiyo ni ama Tamimu awaeleze hao waliko kwenye bodi masikitiko yake ili mambo yanayohusu shule wamwachie yeye aamue au awaachie shule yao ili kulinda jina lake. Ni wazi kwamba matokeo ya shule kwa miaka mingi sasa yamekuwa mabaya kwa kipindi kirefu.
  • Fortrich Richard Nimekutaja kwanza ili nisisahau nina mashaka na ww., shule imefeli unaleta unafiki hapa iko 10 za mwisho wewe unaleta
    Mambo ya undugu hapa. Nimexoma tweyambe enzi hz undugu ulitawala pale japo. MKUU WA SHULE WKT HUO ALIWEZA KUJISIMAMIA LEO ALIONDOLEWA. KIUNAFIKI KISA TAMIMU NI MTOTO WA MWENYEKITI.NAIJUA TWEYAMBE ILIVYO NA MATOKEO ILIYOYAPATA NI JANGA LA WADAU WOTE WALOPITA PALE.

    ?hhHIVYO NATOA HOJA TAMIM NA ANTON WAJIONDOWE KWANI WAMEFANYA MENGI ILA2 WALIPOFIKA AWAWEZI TENA

  • Sebastian Rushoke Nashukuru wote kwa mawazo yenu na imeonekana mnaijua tweyambe.mmetaja majina ya wakuu wa shule na sifa zao.kwangu mim najiuliza hivi taratibu za uendeshaji wa tweyambe ni za headmaster au bodi ya shule.nani anaajiri walimu?nani anafuatilia mienendo na ufundishaji wa walimu?then tunajua manegement ya shule binafsi na serikal?pia tunapata nafas ya kuhudhulia vikao vya tideso ili baada ya utafit tuwape mapendekezo yetu.kutaja jina la mtu kwa kashfa ndani ya jamii not fear maana hatujamuuliza yeye ana maoni gani.napita tu!
     
     

    • Victor Kiaro arudishwe nathanael issayaaaaa.
    • Chris Kente siyo kwamba arudishwe nani bali ni kuangalia wapi pana pwaya pazibwe,Hatuwezi kuamini Issaya tu wapo walimu wazuri hata zaidi ya Isaya la msingi kuwaajili walimu watanzania na kuwalipa malipo mazuri kushawishi walio serikalini warudi binafsi.Huwana mtandao siyo mbaya bali huelewa wetu juu ya nni kifanyike ndo mbaya.
    • Gration Katto Chris nimependa comment yako, ya kutoshikiria fulani anaweza na fulani hawezi wakati hatujuhi nani kapwaya.
    • Yusuph Haruna Tukubali tukatae tatizo ni menejimenti pofu inayoshindwa kubadilika kutokana na nyakati.kushikilia waganda waco na msaada mi sioni kama tunajenga,hakuna asiyejua kua elimu ya uganda ipo chini.

      • Alexander Benedicto Naomba niwe muwazi maana wengine hawataki kuambiwa ukweli, Nasema history, Geograpg, English, Civics, Biology,haya yanahitaji ujuzi wa Kingereza kwa ajili ya kujua swali linataka nini. Lakini sio kweli kuwa waganda waliojaa Tweyambe ndo wanajua Ki ingereza kuliko Watanzania wanaijua mitaala na kuiandaa. Hivyo suala la kutumia Cheap Labour kwa kujaza waganda wengi wakati shule inateketea halina tija tena kwa Wana Tideso. Naomba muwe na huruma ya Kizazi hiki na cha baadae. Kama sio Tweyambe wewe na mimi hapo ungefika?
      • Alexander Benedicto Orodha ya walimu walioifanya Tweyambe ijulikane na kuwa tishio na kueshimika ni kama ifuatavyo: 1. Amosi Kagari( Kiswahili), Juma Chambo(Physics), Michael Lwiza(Chemistry) & Stig Gurnasson(Chemistry), Peter Gabriel and Theopili(Biology), Madam Petronida , Rate Mama Berith& Nathanael Isaya , Pascal,(Mathematics),Steven Likongwa & Nshenda & Rate Pancracy(English),Theojinius, Waseminary 2-kwa sasa Advocates hapa jijini(History), [Chini ya Mzee wa Karo, rate Mzee wa English(Barongo), rate Omutwale Lwamugira, Mzee Lugejuna, Kalokola on Training as a Leader, Mama Mlokozi, rate AbdulNuru.]Je kwani mbona matokeo yalikuwa safi , F2 1997 -Lake zote Maths Tweyambe tano bora aliingia Alexander Benedicto, January 1999 F4( Kitaifa Mshindi wa Pili-Bukambu Tweyambe), Je hapa waganda wapo wangapi? Jibu kwa hoja sio ushabiki hapa maana tunahitaji kuwafungua macho hawa viongozi wetu . Mungu ibariki Tweyambe na Mungu Ibariki Tanzania.
         
        Bernard Matungwa Hahahahah Tweyambe imegeuzwa academy! Yani kama zile chekechea. Halafu wanategemea kupata Div 1. Je, bodi itatuelewa? Maana kwanza nasikia mwenyekiti anaishi London. Tuna nafasi gani ya kuwapa ushauri wakausikiliza, kuupokea na kuufanyia kazi? We really need to do something. Alexander Benedicto, nakumbuka tuliwahi kuwa na idea ya kuweka mkakati wa kuwa na sauti Tweyambe katika maendeleo ya shule. Ni wakati wa kuufufua mkakati huo. Nakuja Tanzania July tujaribu kuangalia kama tunaweza kufanya kitu kwa ajili ya shule yetu
       
       
      Kevin Isaya Nathan nilichopenda hapa mtandaoni ni kwamba yanatokea ya shivj na lissu. mwanafunzi anamkosoa mwalimu wake lakini kilichonishangaza ni jaziba mmetumia zaidi kusolve swala na tofauti zenu jaman(alen mdogo wangu vs marius kaka yangu).tuvumiliane
      alen hujupaswa kuonesha hasira na kumvunjia heshma mwalimu wako.pia
      mwalim marius ulipaswa kumjibu mwanafunzi wakokwa hoja na kumuelekeza alipokosea si vijembe angalia post yako tena.hapa ni mtandao wa kijamii ambao kila mtu anapitia mnachoandik na mbaya zaid dunian mzani wa kupima ustaarabu wa mtu ni point na maneno anayosema huwez kamwe kwenda kokote ukakuta wameandika thaman ya kijana ni million kadhaa no.value yako ni point na uwezo wako wa kuyakabili matatzo.pili tweyambe kufeli ni suala la kawaida linarekebishika msiogope,ingekuwa ni kimbunga kimeporomosha majengo wanafunz na walimu wakafa hapo suala lingekuwa kubwa. lakini ubaguz ni mbaya sana naona shule kuwa ishoz haimaanish ni ya wanaishoz tu.weng tunaipenda ile shule na ni vema mpokee mawaZo toka hata nje ya ishoz.
       

      • Kevin Isaya Nathan kweli Bernard Matungwa lakini kuna watu nadhan wanahitaji kuacha kupotosha then mimi nachotoa kama mchango wa kujenga ile shule ni kufanya maamuzi magumu yaliyofanywa na baadhi ya shule .inabidi shule hii ibinafsishwe iwe chini ya watu binafsi au chombo kitakachokuwa na maamuzi ya kuajili na kudahilt wanafunz na kuendesha shughuli zote za shule maana shule ikiwa chini ya kijiji sana na kila mwana kijiji au mtandao akajua ana umiliki pale inakuwa vigumu kuiongoza shule ile hivyo ICHUKULIWE NA MTU BINAFSI AMBAYE ATAINGIA MAKUBALIANO YA KUWA ANAWALIPA NA KUWAONESHA WANAMTANDAO UENDESHAJ ULIVYO KILA MWAKA kwa mkataba wa miaka kadhaa, nakuhakikishia itafanya vizuri sana na itatisha, AU kama hiyo ni ngumu basi wafanye ILI UNAJUA TANZANIA NZIMA TWEYAMBE INAMFUMO TOFAUTI WA UONGOZI YAAN WAMILIKI WA SHULE AMBAO NI TIDESO WANAINGILIA MAAMUZI YA MKUU WA SHULE HIVYO KWA SUALA LA KUFAIL LIKITOKEA TUNASHINDWA WA KUMUWAJIBISHA AU KUMSAIDIA HIVYO headmaster apewe madaraka tosha yaan uongozi wa headmaster usiingiliwe sana pili ofis ya tideso iame hata pale iende kwningine au kama itakaa pale basi majukumu ya shule yasiingiliwe maana wao hawajasomea ualimu wao ni viongoz wa management, nne mishahara ya walimu iboreshwe, tano tweyambe neno passmark lipo mdomon tu si kivitendo zaid utakuta pass mark wameandika 40 lakini mitihan ni ya kawaida na isiyokidhi viwango na pengine walimu hawawi waaminifu wanawapa mtihan wanafunz wanapanda darasa wenye uwezo mdogo sana wakifeli form four mnalumbana facebook,pia inabidi wakati wa kudahili wanafunzi vigezo vizingatiwe na viheshimike,watembelee shule kama KARASEC, ILUHYA BUKOBA LUTHERAN SEC waige nadhan tutajenga tweyambe nzuri, ndo hayo tu