Nimeshangaa sana chama kinakuwa na watu wenye confidence ya kufanya
mambo yasiyo sawa kupitia kutoa kauli mbovu,alafu wanashangiliwa sana na
wasiojua matokeo ya kauli hizo, hapa hakuna usalama hata kidogo, hii
haina usalama ndani yake , hizi kauli za kijinga hasa kutoka kwa wale
wanaofikiria kuwa kaskazin ndo bora kuliko sehem nyingine za tanzania
nasema wamepotoka saana, huo msimamo wa majimbo na kutaka kujitenga si
msimamo mzuri kwa nchi ambayo bado tunamatatizo ya njaa, rushwa,
uwajibikaji mdogo, sasa mnataka kutuongezea mzigo wa kutatua tatizo la
ukabira na ujimbo, yaan mnaweza kujitenga hasa kwa ulevi wa madaraka na
sera za vijiwen lakin jua hamtabaki salama, maana mnaojiita wa
kaskazini na mkawabagua wa kusini mtajikuta kumbe si wamoja maana kuna
wachaga, wapare, wa barbaig, wa arumeru, wa masaai, wa irak,eee,ni weng
sana sasa mtakuta kuna WAKASKAZINI NA WAKASIKUSIN maan bila kupata
msaada wa kusini kuna ambao hawata survive, MI NAONA HUYU TUMUOGOPE
KAMA UKOMA KAMA ALIVYOSEMA MWALIMU NYERERE
No comments:
Post a Comment